Fahamu kuhusu kutimia kwa Sala ya Baba Yetu kupitia Maandishi ya Luisa Piccarreta - Kuishi Utashi wa Mungu.
Ufalme wa Utashi Wangu wa Kimungu Kati ya Wanadamu
(Toleo la 19 - Agosti 27, 1926)
- KITABU CHA MBINGU -
Wito kwa mwanadamu kurejea kwenye mpangilio,
kwenye nafasi yake, na kwenye lengo lake lile ambalo kwalo alikuwa ameumbwa na Mungu